Mkoa wa Kwango

Mkoa wa Jamhuri ya Kidemokrasia y'a Kongo


Mkoa wa Kwango ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mkoa wa Kwango
Mahali paMkoa wa Kwango
Mahali paMkoa wa Kwango
Mahali pa Mkoa wa Kwango katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mikoa
Mji mkuu Kenge
Eneo
 - Jumla 89,974 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,994,036

Jina linatokana na mto Kwango unaotumika kama mpaka na Angola.

Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,944,036.

Mji mkuu ni Kenge.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
 
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kwango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.