Mlango wa Hudson unaunganisha Bahari ya Atlantiki na Ghuba ya Hudson huko Kanada. Uko kati ya Kisiwa cha Baffin na pwani ya kaskazini ya Quebec. Urefu wake ni km 720 mile 450 (km 720), upana wake huwa kati ya km 240 hadi km 54. [1] [2]

Ramani ya mlango wa Hudson, Nunavut, Kanada.        Nunavut        Greenland        Quebec        Newfoundland na Labrador        Manitoba        Ontario
Meli za Kampuni ya Hudson's Bay Prince of Wales na Eddystone wakifanya biashara na Inuit nje ya Visiwa vya Savage vya Juu, Hudson Strait; na Robert Hood (1819).

Njia hii ya bahari iligunduliwa na nahodha Mwingereza Henry Hudson mnamo mwaka wa 1609 alipotafuta mapito ya kaskazini-magharibi yaani njia mbadala ya kufika kwenye Bahari Pasifiki.

Marejeo hariri

  1. Trémaudan, Auguste Henri de Trémaudan (1916). The Hudson Bay road (1498-1915) (toleo la Digitized Jul 10, 2008). J.M. Dent. uk. 50. 
  2. answers.com