Molaise (pia: Laisren au Laserian, yaani Mwanga; alifariki 18 Aprili 639 hivi) alikuwa mkaapweke nchini Uskoti, halafu abati (labda pia askofu) wa monasteri ya Leighlin nchini Ireland baada ya ndugu yake Goban.

Katika kisiwa hicho alieneza kwa utaratibu na amani ibada ya Pasaka jinsi ilivyoadhimishwa na Kanisa la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

Vyanzo vya kale vya Kieire hariri

Vyanzo vingine hariri

  • Chadwick, Nora. Studies in the Early British Church. Cambridge, 1958.

Kusoma zaidi hariri

  • Feeley, Joseph M. and J. Sheehan. "Old Leighlin monastery and cathedral, 5th to 15th century", Carloviana 52 (2003): pp. 9–15.
  • Hayden, Margaret. "The district of Leighlin Lasarian's country", Carloviana 2:29 (1981): pp. 4–6.
  • Kenny, Colum. "Molaise's water of truth." Carloviana 47 (1999). pp. 31, 36.
  • Kenny, C. "Old Leighlin after Laserian: division and reconciliation." Carloviana 47 (1999): pp. 22–30.
  • Kenny, C. "Molaise. Abbot of Leighlin and hermit of Holy Isle. The life and legacy of Saint Laisren in Ireland and Scotland". Morrigan Books, Killala, County Mayo. (1998)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.