Mtapenda ni kata mojawapo kati ya 12 za Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo iliyoko katika Mkoa wa Katavi, Tanzania.

Kata ya Mtapenda
Nchi Tanzania
Mkoa Mkoa wa Katavi
Wilaya Wilaya ya Nsimbo
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,811

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,811 waishio humo.[1]

Ni kata yenye mchanganyiko wa wakazi wanaozungumza lugha mbalimbali kama vile Kifipa, Kibende, Kirwila, Kikonongo na nyinginezo, ila Wafipa ndio waliotawala sana maeneo haya.

Kijiji cha Mtapenda kina idadi kubwa ya wanywaji wa pombe ya kienyeji.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Nsimbo - Mkoa wa Katavi - Tanzania  

Ibindi | Itenka | Kanoge | Kapalala | Katumba | Litapunga | Machimboni | Mtapenda | Nsimbo | Sitalike | Ugalla | Uruwira


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.