Mto Moyowosi ni jina la miwili kati ya mito ya Tanzania magharibi (mkoa wa Geita, mkoa wa Tabora na mkoa wa Kigoma), mmoja ukitokea Burundi (mkoa wa Cankuzo) na kuwa tawimto muhimu zaidi la mto Malagarasi, ulio wa pili nchini kwa urefu (km 475)[1][2] na ambao unatiririka hadi ziwa Tanganyika, ukiwa mto unaoliingizia maji mengi zaidi. Baadaye, maji mengine yanachangia mto Kongo na hatimaye Bahari ya Atlantiki.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Kisangani, Emizet F.; Bobb, F. Scott (2010). Historical Dictionary of the Democratic Republic of the Congo. Scarecrow Press. p. 299. ISBN 978-0-8108-5761-2. Retrieved 30 May 2012. 
  2. Elf-Aquitaine (Company) (1992). Bulletin des centres de recherches exploration-production Elf-Aquitaine. Société nationale Elf-Aquitaine (Production). Retrieved 30 May 2012. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Moyowosi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.