Po (mto)

(Elekezwa kutoka Mto Po)

Po ni mto mrefu zaidi nchini Italia, wenye urefu wa kilomita 652.

waendesha farasi pembezoni mwa delta ya po
Mto Po
Beseni la Po
Beseni la Po
Chanzo Milima ya Monviso
Mdomo Bahari ya Adria
Nchi za beseni ya mto Italia (100.0%)
Urefu 652 km

Unapita kaskazini mwa Italia kuanzia chanzo chake katika milima ya Alpi kuelekea mashariki hadi mdomo wake kwenye bahari ya Adria karibu na mji wa Venisi.

Beseni lake huwa na eneo la km² 71,000.

Unapitia mikoa minne: Piemonte, Lombardia, Emilia-Romagna, Veneto. Hapo unapita kwenye miji muhimu kama vile Torino na karibu na Milano.

Mdomo wake huishia kama delta.

  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Po (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.