Mtumbaku
(Nicotiana spp.)
Mitumbaku iliyotoa maua
Mitumbaku iliyotoa maua
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Asterids (Mimea kama alizeti)
Oda: Solanales (Mimea kama mnavu)
Familia: Solanaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mnavu)
Jenasi: Nicotiana
L.
Spishi: N. acuminata

N. attenuata
N. clevelandii
N. excelsior
N. forgetiana
N. glauca
N. glutinosa
N. langsdorffii
N. longiflora
N. obtusifolia
N. paniculata
N. persica
N. plumbagifolia
N. quadrivalvis
N. repanda
N. rustica
N. x sanderae
N. suaveolens
N. sylvestris
N. x tabacum
N. tomentosa
N. tomentosiformis

Mitumbaku (pia mitumbako; kwa Kisayansi Nicotiana spp.) ni mimea iliyo na asili yao katika Amerika lakini inayolimwa kote duniani siku hizi. Majani yake (tumbaku) yana kiasi kikubwa cha nikotini na yana matumizi ya kuvuta katika sigara.

Majani ya tumbaku yakikauka

Historia

hariri

Waindio ambao ni wenyeji asilia wa Amerika walitumia tumbaku miaka mingi kabla ya kufika kwa Wazungu huko. Wahispania walijifunza matumizi ya tumbaku kutoka kwao wakaileta Ulaya.

Mwanzoni tumbaku ilivutwa kwa kiko. Sigara zilipatikana baadaye. Inatafuniwa na kunuswa pia.


Walimaji Mtumbaku

hariri
Walimaji wakuu wa mtumbaku duniani - 2005
(milioni za tani za mraba)
  China 2.51
  Brazil 0.88
  Uhindi 0.60
  Marekani 0.29
  Indonesia 0.14
  Uturuki 0.14
  Ugiriki 0.12
  Argentina 0.12
  Italia 0.11
  Pakistan 0.08
World Total 6.38
Kutoka:
FAO
[1] Ilihifadhiwa 19 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.


  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtumbaku kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.