CHUO KIKUU CHA IRINGA

hariri

Chuo kikuu cha Iringa ni chuo kikuu binafsi kinachopatikana mkoani Iringa, Tanzania.[1]

Historia

hariri

Mwaka 1995 chuo kikuu cha Iringa kilianza, kikiwa kama chuo kikuu kishiriki chini ya chuo kikuu cha Tumaini[2].

Mwaka 1997 kikaanza kutoa astashahada, stashahada pamoja na shahada.

Tarehe 25 Oktoba 2013, chuo kikuu cha Iringa kikapewa rasmi hadhi ya chuo kikuu kutoka chuo kikuu kishiriki.

Taaluma.

hariri

Chuo kikuu cha Iringa kina vitivo sita, ambavyo ni:

Vitivo hivyo vinavyotoa elimu katika fani mbalimbali kwa ngazi za:

  • Astashahada
  • Stashahada
  • Shahada
  • Shahada ya Uzamili [3]

Marejeo

hariri

[[Jamii:Vyuo vikuu vya tanzania]]

  1. https://www.tcu.go.tz/sites/default/files/LIST%20OF%20%20UNIVERSITY%20INSTITUTIONS%20IN%20TZ%20AS%20OF%2031.8.2019.pdf
  2. "Historia ya chuo kikuu Iringa". www.uoi.ac.tz (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2019-11-08.
  3. "Wayback Machine" (PDF). web.archive.org. 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-19.