Petimon
Imejiunga 31 Oktoba 2019
Petimon Mnyama (bro_tz_) اسعد (jina lake kamili ni Peter Simon Ngugulu; alizaliwa 19 Novemba 1995) ni Mkunga, Mfanyabiashara, na mwanamitindo (Tanzania).
Petimon ni mtoto wa pili katika familia ya baba Simon na mama Martina, alisoma elimu ya msingi, elimu ya sekondari, na chuo kikuu nchini Tanzania (shahada ya kwanza ya ukunga).