Musiani Maria
Musiani Maria, F.S.C. (jina la awali: Louis Wiaux; Mellet, Hainaut,20 Machi 1841 - Malonne, Namur, Ubelgiji, 30 Januari 1917) alikuwa bradha alitumia karibu maisha yake yote kulea kwa bidii vijana.
Alitangazwa mwenye heri na Papa Paulo VI tarehe 30 Oktoba 1977, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 10 Desemba 1989.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Januari[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Mutien-Marie at Patron Saints Index
- Mutien-Marie at Catholic Online
- Saint of the Day, January 30: Mucian Mary Wiaux Ilihifadhiwa 25 Februari 2020 kwenye Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
- Louis Wiaux in ODIS - Online Database for Intermediary Structures Ilihifadhiwa 28 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.