Nestori wa Magido

Nestori wa Magido (alifariki Perge katika Pamfilia, leo nchini Uturuki, 251) alikuwa askofu wa mji huo[1] ambaye aliuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Decius wa Dola la Roma[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 25 Februari[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Lives of the Saints by Omer Englebert, 1951 and Barnes & Noble Books, 1994
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/42800
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.