Pamfilia
Pamfilia (kwa Kigiriki: Παμφυλία, Pamphylía [1] kwa maana ya mchanganyiko wa watu [2]) lilikuwa eneo kusini mwa Asia Ndogo, katikati ya Lycia na Kilikia. Kaskazini kulikuwa na Pisidia, ambayo chini ya Warumi ilihesabiwa kama sehemu ya Pamfilia kutokana na wakazi kuwa na asili moja.
Eneo hilo la rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki) lilikuwa kati ya bahari ya Mediteranea na Milima ya Taurus kama mkoa wa Antalya leo.
Ni kati ya maeneo yaliyojinjilishwa na Mtume Paulo pamoja na Barnaba.
Tanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Livius.org: Pamphylia Archived 29 Desemba 2012 at the Wayback Machine.
- Asia Minor Coins: Pamphylia Archived 12 Julai 2019 at the Wayback Machine. ancient Greek and Roman coins from Pamphylia
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pamfilia kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |