Perge (kwa Kigiriki: Πέργη, Perge, kwa Kituruki: Perge) ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia,[1] uliowahi kuwa makao makuu ya Pamphylia Secunda, sasa katika wilaya ya Antalya, kusini-magharibi mwa pwani ya Mediteranea ya Uturuki.

Uwanja wa mji.
Uwanja wa michezo.

Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 15 mashariki kwa Antalya. Baadhi ni ya Zama za Shaba.[2]

Mwaka 46 Mtume Paulo na Barnaba walifika mara mbili kuinjilisha huko (Mdo 13:13-14 na 14:25).

Tanbihi hariri

  1. Hannah M. Cotton; Robert G. Hoyland; Jonathan J. Price; David J. Wasserstein (3 September 2009). From Hellenism to Islam: Cultural and Linguistic Change in the Roman Near East. Cambridge University Press. ISBN 978-0-521-87581-3. 
  2. Perge. Iliwekwa mnamo 2006-10-30.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Perge kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.