Netsai Mukomberanwa

Mchongaji/Mchoraji wa Zimbabwe

Netsai Mukomberanwa ni mchongaji sanamu kutokea Zimbabwe. Ni mchongaji sanamu wa kizazi cha pili cha sanaa za Kishona wanaotumia mawe katika uchongaji. Hutumia mchana wake kuzalisha kazi zake katika shamba la familia huko Zuwa. Kazi yake ya msingi ni ualimu wa shule ya msingi.

Netsai Mukomberanwa

Netsai ni mwanachama wa familia mashuhuri ya wasanii ya Mukomeranwa. Ni binti wa mchongaji wa kizazi cha kwanza cha uchongaji wa Kishona Nicholas Mukomberanwa na Grace Mukomberanwa. Ni dada wa wachongaji Anderson, Ennica, Taguma, Tendai Mukomberanwa na Lawrence Mukomberanwa, na ni binamu wa Nesbert Mukomberanwa.

  • Tuzo ya mchongaji mdogo wa kike- 2014 [1]
  • Mwanachama wa kamati ya sanaa za maonyesho Harare[2]

Marejeo

hariri
  1. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-18. Iliwekwa mnamo 2014-10-14.{{cite web}}: CS1 maint: archived copy as title (link)
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-09-08. Iliwekwa mnamo 2021-03-20.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Netsai Mukomberanwa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.