Nikomedi wa Roma
Nikomedi wa Roma alikuwa Mkristo aliyeuawa mjini Roma kwa imani yake.
Inasemekana alikuwa padri.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Papa Bonifasi V aliheshimu kaburi lake kwa kujenga juu yake basilika kubwa [1].
Sikukuu yake ni tarehe 15 Septemba[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |