Nurdin Bakari
Mchezaji wa Soka wa Tanzania
Nurdin Bakari (alizaliwa mnamo 6 Julai, 1988) ni mwanasoka wa zamani wa nchini Tanzania, aliyeichezea Timu ya Taifa ya Tanzania. Alikuwa miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha mwaka 2004, 2005, 2008, 2009, 2010 na 2011 katika mashindano ya kombe la CECAFA Cups.[1]
Nurdin Bakari | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Nurdin Bakari | |
Tarehe ya kuzaliwa | 6 Julai 1988 | |
Mahala pa kuzaliwa | Arusha, Tanzania | |
Urefu | 1.72 m | |
Nafasi anayochezea | Kiungo | |
Timu ya taifa | ||
Timu ya Taifa ya Tanzania | ||
* Magoli alioshinda |
Ushiriki Kimataifa
haririMabao Kimataifa
hariri- Alama na matokeo yanaorodhesha idadi ya mabao ya Tanzania kwanza.[1]
Na | Tarehe | Uwanja | Mpinzani | Mabao | Matokeo | Mashindano |
---|---|---|---|---|---|---|
1. | 4 Decemba 2005 | Uwanja wa Amahoro, Kigali, Rwanda | Eritrea | 1–0 | 1–0 | CECAFA Cup, 2005 |
2. | 30 Novemba 2010 | Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania | Somalia | 3–0 | 3–0 | CECAFA Cup, 2010 |
3. | 4 Decemba 2010 | Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania | Burundi | 1–0 | 2–0 | CECAFA Cup, 2010 |
4. | 2–0 | |||||
5. | 15 Novemba 2011 | Uwanja wa Taifa, N'Djamena, Chad | Chadi | 2–1 | 2–1 | Michuano ya kufuzu Kombe la Dunia, 2014 |
6. | 6 Decemba 2011 | Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Tanzania | Malawi | 1–0 | 1–0 | CECAFA Cup, 2011 |
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Nurdin Bakari". National-Football-Teams.com. Iliwekwa mnamo 6 Agosti 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nurdin Bakari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |