Austria Juu

(Elekezwa kutoka Oberösterreich)

Austria ya Juu (Kijerumani: Oberösterreich) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 1.411.606 kwenye eneo la 11.982 km². Mji mkuu ni Linz. Waziri mkuu ni Josef Pühringer (ÖVP).

Mahali pa Austria Juu katika Austria
bendera ya Austria Juu

Jiografia hariri

Austria Chini imepakana na majimbo ya Ujerumani ya Salzburg, Steiermark na Austria Chini.

Miji mikubwa ni pamoja na Linz na Wiener Neustadt.

Danubi na Enns ni mito muhimu zaidi.

Picha za Austria Juu hariri

Tovuti za Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Austria Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


 
Majimbo ya Austria
 
Austria Chini (Niederösterreich)Austria Juu (Oberösterreich)BurgenlandKarinthia (Kärnten)SalzburgSteiermarkTirolVienna (Wien)Vorarlberg