Orodha ya Marais wa Tanzania

Makala hii inaonyesha orodha ya marais wa Tanzania.

Tanzania

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Tanzania



Zanzibar

Nchi zingine · Atlasi

Marais wa Tanzania, 1964-hadi sasa

hariri
Jina Amechukua ofisi Ameondoka ofisini Chama
  Julius Nyerere
(1922–1999)
26 Aprili 1964 5 Februari 1977 TANU
5 Februari 1977 5 Novemba 1985 CCM
  Ali Hassan Mwinyi
(1925–2024)
5 Novemba 1985 23 Novemba 1995 CCM
  Benjamin Mkapa
(1938–2020)
23 Novemba 1995 21 Desemba 2005 CCM
  Jakaya Kikwete
(1950–)
21 Desemba 2005 5 Novemba 2015 CCM
  John Magufuli
(1959–2021)
5 Novemba 2015 17 Machi 2021 CCM
  Samia Suluhu Hassan
(1960-)
19 Machi 2021 CCM

Ushirika wa Kisiasa

hariri

Tazama pia

hariri