Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2005
Nchi ya Tanzania ilifanya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo 4 Desemba 2005. Mapema ulikuwa ulipangiwa kufanyika mnamo 30 Oktoba lakini ukahairishwa kutokana na kifo cha mgombea kiti cha Makamu wa Rais. Uchaguzi huu ulikuwa wa tatu tangu nchi hiyo kurudia mfumo wa vyama vingi mnamo 1992. Pia ulikuwa wa pekee kwa kuwa aliyekuwa rais, Benjamin Mkapa, ambaye alikuwa amehudumu kwa kipindi cha miaka kumi alistaafu kulingana na Katiba. Uchaguzi wa Urais wa Zanzibar na wawakilishi katika jumba la wawakilishi ulifanyika mnamo 30 Oktoba, jinsi ilivyokuwa imepangwa.
Tanzania |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Wagombea Urais
haririMuungano
hariri- Jakaya Kikwete - Chama Cha Mapinduzi (CCM)
- Paul Henry Kyara - Sauti ya Umma (SAU)
- Ibrahim Lipumba - Civic United Front (CUF)
- Emmanuel Makaidi - National League for Democracy (NLD)
- Freeman Mbowe - Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
- Augustine Mrema - Tanzania Labour Party (TLP)
- Christopher Mtikila - Democratic Party (DP)
- Sengondo Mvungi - National Convention for Construction and Reform-Mageuzi (NCCR-Mageuzi). Pia aliviunga mkono vyama vya Forum for the Restoration of Democracy (FORD), National Reconstruction Alliance (NRA), Union for Multiparty Democracy (UMD), na United People's Democratic Party (UPDP).
- Anna Senkoro - Progressive Party of Tanzania-Maendeleo (PPT-Maendeleo)
- Leonard Shayo - Demokrasia Makini (MAKINI)
Zanzibar
hariri- Amani Abeid Karume - Chama Cha Mapinduzi (CCM)
- Seif Shariff Hamad - Civic United Front (CUF)
- Haji Mussa Kitole - Jahazi Asilia
- Abdallah Ali Abdallah - Democratic Party (DP)
- Mariam Omar - Sauti ya Umma (SAU)
- Simai Abdulrahman Abdallah - National Reconstruction Alliance (NRA)
Matokeo ya Uchaguzi
haririRais wa Muungano
haririCandidates | Nominating parties | Votes | % |
---|---|---|---|
Jakaya Mrisho Kikwete | Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party) | 9,123,952 | 80.28 |
Ibrahim Lipumba | Chama cha Wananchi (Chama Cha Wananchi) | 1,327,125 | 11.68 |
Freeman Mbowe | Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress) | 668,756 | 5.88 |
Augustine Lyatonga Mrema | Tanzania Labour Party | 84,901 | 0.75 |
Sengondo Mvungi | National Convention for Construction and Reform-Mageuzi | 55,819 | 0.49 |
Christopher Mtikila | Democratic Party | 31,083 | 0.27 |
Emmanuel Makaidi | National League for Democracy | 21,574 | 0.19 |
Anna Senkoro | Progressive Party of Tanzania-Maendeleo | 18,783 | 0.17 |
Leonard Shayo | Demokrasia Makini | 17,070 | 0.15 |
Paul Henry Kyara | Sauti ya Umma | 16,414 | 0.14 |
Total Votes | 11,365,477 | 100.00 | |
Voter Turnout | 72.4% |
Bunge la Muungano
haririParties | Votes | % | Direct seats |
Additional Women seats |
Total seats |
---|---|---|---|---|---|
Chama Cha Mapinduzi (Revolutionary Party) | 7,579,897 | 70.0 | 206 | 58 | 264 |
Chama cha Wananchi (Chama Cha Wananchi) | 1,551,243 | 14.3 | 19 | 11 | 30 |
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Party for Democracy and Progress) | 888,133 | 8.2 | 5 | 6 | 11 |
Tanzania Labour Party | 297,230 | 2.7 | 1 | — | 1 |
National Convention for Construction and Reform–Mageuzi | 239,452 | 2.2 | — | — | — |
United Democratic Party | 155,887 | 1.4 | 1 | — | 1 |
Others | 117,671 | 1.2 | — | — | — |
Members nominated by the Union president | 10 | ||||
Representatives of the Zanzibar House of Representatives | 5 | ||||
Ex officio members | 2 | ||||
Total (turnout 72%) | 10,829,513 | 100.0 | 232 | 75 | 324 |
Rais wa Zanzibar
haririMgombea | Chama | Idadi ya Kura | % ya Kura |
---|---|---|---|
Amani Abeid Karume | Chama Cha Mapinduzi (CCM) | 239,832 | 53.18% |
Seif Shariff Hamad | Civic United Front (CUF) | 207,773 | 46.07% |
Haji Mussa Kitole | Jahazi Asilia | 2,110 | 0.48% |
Abdallah Ali Abdallah | Democratic Party (DP) | 509 | 0.11% |
Simai Abdulrahman Abdallah | National Reconstruction Alliance (NRA) | 449 | 0.10% |
Mariam Omar | Sauti ya Umma (SAU) | 335 | 0.07% |
Total Votes | 451,008 | ||
Voter Turnout | 90.8% |
Chumba la Wawakilishi, Zanzibar
haririChama | Idadi ya viti (50) |
---|---|
Chama Cha Mapinduzi (CCM) | 30 |
Civic United Front (CUF) | 19 |
Kilichopigwa Marufuku | 01 |
Note: Marudio ya uchaguzi kwa kiti ambacho matokeo yake yakituoikiwa mbali yalifanyika mnamo 14 Desemba 2005.
Tazama Pia
haririViungo vya nje
hariri- Uchaguzi Tanzania Ilihifadhiwa 13 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- Chama Cha Mapinduzi official site
- Chama cha Democracia na Maendeleo Ilihifadhiwa 11 Desemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- National Electoral Commission