Orodha ya miji ya Gabon

Orodha ya miji ya Gabon inaonyesha miji mikubwa zaidi nchini Gabon katika Afrika ya Magharibi.

Ramani ya Gabon
Libreville, Mji Mkuu wa Gabon
Port-Gentil
Masuku (Franceville)

Rundiko kubwa nchini ni Libreville lililokadiriwa kuwa na wakazi 895,689 mnamo mwaka 2013. Hivyo karibu nusu ya wananchi wote wanakaa katika mazingira ya mji mkuu. [1]

Miji ya Gabon
Na. Mji Idadi ya wakazi Mkoa
Sensa ya 1993 sensa ya 2013
1. Libreville 419,596 703,940 Estuaire
2. Mandji (Port-Gentil) 79,225 136,462 Ogooué-Maritime
3. Masuku (Franceville) 31,183 110,568 Haut-Ogooué
4. Oyem 22,404 60,685 Woleu-Ntem
5. Moanda 21,882 59,154 Haut-Ogooué
6. Mouila 16,307 36,061 Ngounié
7. Lambaréné 15,033 38,775 Moyen-Ogooué
8. Tchibanga 14,054 30,042 Nyanga
9. Koulamoutou 11,773 25,651 Ogooué-Lolo
10. Makokou 9,849 20,653 Ogooué-Ivindo

Orodha kwa alfabeti hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri