Ortari (kwa Kifaransa: Ortaire [1]; Le Dezert, Manche, 482 - karibu na Bayeux, Normandy, Ufaransa, 15 Aprili, 580 hivi) alikuwa mmonaki, halafu abati wa monasteri ya Landelles maarufu kwa sala na ugumu wa maisha, lakini pia kwa huduma kwa wagonjwa na huruma kwa fukara[2].

Sanamu yake.

Aliinjilisha maeneo ya Cotentin na Aron (Mayenne)[3]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Aprili[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Nominis : Saint Ortaire
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/49540
  3. Voyageurs et ermites, Saints populaires évangélisateurs de la Normandie. Catalogue de l’exposition tenue au musée de Normandie (Caen) du 8 juin au 28 octobre 1996
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Jean Fournée et Pierre Courcelle, Saint Ortaire, sa vie, son culte, son iconographie, Société parisienne d'histoire et d'archéologie normandes, 1989, 52 p. ISBN 2-901488-36-6
  • F.L.B.,Saint Ortaire, abbé de Landelles et apôtre de la Basse-Normandie, Paris, 1880.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.