Otilia wa Alsasya
Otilia wa Alsasya, O.S.B. (pia Odilia wa Alsace; 662 hivi - Mont Sainte-Odile, 720 hivi) alikuwa mwanamke wa ukoo maarufu wa Alsace (leo nchini Ufaransa).
Inasemekana alikataliwa na baba yake kwa sababu ya jinsia yake na ya upofu wake, hivyo alilelewa na wakulima.[1]
Miujiza mbalimbali ilitokea katika maisha yake baada ya kupata ubatizo na kuwezeshwa kuona.
Hapo kwa msaada wa baba yake, alianzisha monasteri mbili za Kibenedikto na kuwa abesi wake hadi alipofariki dunia[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Mwaka 1807 Papa Pius VII alithibitisha heshima hiyo.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Desemba[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Saint Odilia of Alsace". Saints.SQPN.com. Iliwekwa mnamo 2012-07-14.
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/81200
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Short biography of St Odilia pf Alsace on the Catholic Forum website Ilihifadhiwa 25 Oktoba 2005 kwenye Wayback Machine.
- Short biography of St Odilia pf Alsace on the New Advent website
- Short biography of St Odilia of Alsace with many images of statues and old prayer cards Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2017 kwenye Wayback Machine.
- Mont Sainte-Odile
- "The Pagan Wall of the Mount Sainte Odile", Text in basic English French original
Sala kwa Mt. Otilia, msimamizi wa macho
- Prayer to St Odilia Ilihifadhiwa 16 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
- Litany of St Odilia Ilihifadhiwa 15 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
- Novena in honor of St Odilia Ilihifadhiwa 16 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |