Papa Pius VII

Papa Pius VII, O.S.B. (14 Agosti 174020 Agosti 1823) alikuwa Papa kuanzia tarehe 14/21 Machi 1800 hadi kifo chake[1]. Alitokea Cesena, Italia[2].

Papa Pius VII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Barnaba Chiaramonti.

Alimfuata Papa Pius VI akafuatwa na Papa Leo XII.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.