Mkoa wa Otjozondjupa
(Elekezwa kutoka Otjozondjupa)
Mkoa wa Otjozondjupa ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 135,723 kwenye eneo la 105,328 km². Mji mkuu ni Otjiwarongo.
Jiografia
haririMiji mikubwa ni pamoja na Otjiwarongo, Grootfontein na Okahandja.
Picha za Otjozondjupa
hariri-
CCF katika Otjiwarongo
-
Wasan za Tsumkwe
-
Mlima Waterberg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Otjozondjupa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa |