Patrick Loch Otieno Lumumba (alizaliwa 17 Julai 1962) ni Mkenya aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Kupambana na Rushwa ya Kenya kutoka Septemba 2010 hadi Agosti 2011 [1] na sasa ni Mkurugenzi wa Shule ya Sheria ya Kenya tangu mwaka 2014.[2]

Lumumba ni mwanasheria mwenye ujuzi wa kuzungumza hadharani, na ana shahada ya Udaktari wa Falsafa katika sheria za bahari kutoka Chuo Kikuu cha Ghen nchini Ubelgiji.

Maandishi

hariri

Profesa Lumumba ameandika vitabu kadhaa kuhusu sheria na siasa:

Marejeo

hariri
  1. "EACC History". www.eacc.go.ke. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-07-04. Iliwekwa mnamo 16 Machi 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. App, Daily Nation. "Lumumba named law school boss". Retrieved on 2018-10-01. (en) Archived from the original on 2019-03-06. 

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu PLO Lumumba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.