Paladi wa Saintes (pia: Palladius, Pallade, Pallais, Palais; karne ya 6 - Saintes, Akwitania, leo nchini Ufaransa, 600 hivi) alikuwa askofu wa mji huo alipokuza heshima kwa watakatifu[1] na kujenga basilika juu ya kaburi la Eutropi, askofu wa kwanza wa jimbo hilo [2].

Sanamu yake.

Gregori wa Tours amesimulia habari zake na za ukoo wake [3][4][5].

Hata leo anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Oktoba[6].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Bennett, DCBLSD4, p. 177.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/73420
  3. Gregory of Tours, De Gloria Confessorum 40; Bennett, DCBLSD4, p. 177.
  4. Raymond Van Dam (1988): Gregory of Tours: Glory of the Confessors, LVII.
  5. Raymond van Dam, Saints and Their Miracles in Late Antique Gaul (Princeton University Press, 1993), p. 288.
  6. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.