Chui (Pantherinae)
(Elekezwa kutoka Pantherinae)
Chui | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Chui-theluji (Panthera uncia)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 2: |
Chui ni wanyama mbuai wakubwa wa nusufamilia Pantherinae katika familia Felidae. Isipokuwa spishi moja (simba), wanyama hawa wana madoa au milia. Spishi nyingi zinatokea misitu au maeneo mengine yenye miti katika Afrika, Asia na Amerika, nyingine zinatokea savana na hata milima.
Spishi za Afrika
hariri- Panthera leo, Simba (Lion)
- Panthera pardus, Chui (Leopard)
- Panthera p. pardus, Chui wa Afrika (African Leopard)
Spishi za mabara mengine
hariri- Neofelis diardi, Chui madoa-mawingu wa Sunda (Sunda Clouded Leopard)
- Neofelis nebulosa, Chui madoa-mawingu (Clouded Leopard)
- Panthera onca, Chui wa Amerika au Jagwa (Jaguar)
- Panthera pardus, Chui (Leopard)
- Panthera p. ciscaucasica, Chui wa Uajemi (Persian Leopard)
- Panthera p. delacouri, Chui wa Malay (Indo-Chinese Leopard)
- Panthera p. fusca, Chui Mhindi (Indian Leopard)
- Panthera p. japonensis, Chui wa Uchina (North Chinese Leopard)
- Panthera p. kotiya, Chui wa Sri Lanka (Sri Lankan Leopard)
- Panthera p. melas, Chui wa Java (Javan Leopard)
- Panthera p. nimr, Chui Arabu (Arabian Leopard)
- Panthera p. orientalis, Chui wa Amur (Amur Leopard)
- Panthera p. sindica, Chui wa Baluchistan (Baluchistan Leopard)
- Panthera p. tulliana, Chui wa Anatolia (Anatolian Leopard)
- Panthera tigris, Chui milia (Tiger)
- Panthera uncia, Chui-theluji (Snow Leopard)
Picha
hariri-
Dume na jike wa simba
-
Chui wa Afrika
-
Chui madoa-mawingu wa Sunda
-
Chui madoa-mawingu
-
Chui wa Amerika
-
Chui mhindi
-
Chui wa Sri Lanka
-
Chui wa Amur
-
Chui milia