Papa Adrian IV, Can.Reg. (takriban 11001 Septemba 1159) alikuwa Papa kuanzia tarehe 4/5 Desemba 1154 hadi kifo chake[1]. Alitokea Hertfordshire, Uingereza[2].

Papa Adriano IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nicholas Breakspear. Ni Mwingereza pekee aliyepata kuwa Papa.

Alimfuata Papa Anastasio IV akafuatwa na Papa Alexander III.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.