Papa Anastasio IV

Papa Anastasio IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 9 Julai 1153 hadi kifo chake tarehe 3 Desemba 1154.

Papa Anastasio IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Corrado wa Suburra.

Alimfuata Papa Eugenio III akafuatwa na Papa Adriano IV.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.