Papa Benedikto XIII

(Elekezwa kutoka Papa Benedikt XIII)

Papa Benedikto XIII, O.P. (2 Februari 164921 Februari 1730) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Mei 1724 hadi kifo chake.

Papa Benedikto XIII

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Francesco Orsini.

Alimfuata Papa Inosenti XIII akafuatwa na Papa Klementi XII.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.