Papa Klementi XII (7 Aprili 16526 Februari 1740) alikuwa Papa kuanzia tarehe 12/16 Julai 1730 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].

Papa Klementi XII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lorenzo Corsini.

Alimfuata Papa Benedikto XIII akafuatwa na Papa Benedikto XIV.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.