Papa Benedikto XII

Papa Benedikto XII. O.Cist. (takriban miaka ya 128025 Aprili 1342) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Desemba 1334 hadi kifo chake.

Papa Benedikto XII

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Fournier.

Alimfuata Papa Yohane XXII akafuatwa na Papa Klementi VI.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.