Papa Celestino II
Papa Celestino II alikuwa Papa kuanzia tarehe 25 Septemba 1143 hadi kifo chake tarehe 8 Machi 1144.
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Guido wa Castello.
Alimfuata Papa Inosenti II akafuatwa na Papa Lucius II.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Celestino II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |