Papa Innocent II

(Elekezwa kutoka Papa Inosenti II)

Papa Innocent II (alifariki 24 Septemba 1143) alikuwa Papa kuanzia tarehe 14/23 Februari 1130 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Inosenti II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gregorio Papareschi.

Alimfuata Papa Honori II akafuatwa na Papa Selestini II.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.