Papa Damaso II

Papa Damaso II alikuwa Papa kuanzia tarehe 17 Julai 1048 hadi kifo chake tarehe 9 Agosti 1048.

Papa Damaso II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Poppo.

Alimfuata Papa Benedikto IX akafuatwa na Papa Leo IX.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Damaso II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.