Papa Innocent VIII

Papa Innocent VIII (143225 Julai 1492) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Agosti/12 Septemba 1484 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genova, Italia[2].

Papa Inosenti VIII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Cibo.

Alimfuata Papa Sixtus IV akafuatwa na Papa Aleksanda VI.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.