Papa Pius III (29 Mei 143918 Oktoba 1503) alikuwa Papa kwa siku chache kuanzia tarehe 22 Septemba/1/8 Oktoba 1503 hadi kifo chake[1]. Alitokea Siena, Italia[2].

Papa Pius III.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco Todeschini Piccolomini.

Alimfuata Papa Aleksanda VI akafuatwa na Papa Julius II.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
  1. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father
  2. https://www.vatican.va/content/vatican/en/holy-father.index.html#holy-father