Papa Klementi IV

Papa Klementi IV (23 Novemba mwaka usiojulikana – 29 Novemba 1268) alikuwa Papa kuanzia tarehe 5 Februari 1265 hadi kifo chake.

Papa Klementi IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gui Faucoi le Gros.

Alimfuata Papa Urbano IV akafuatwa na Papa Gregori X.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.