Papa Gregori X (takriban 121010 Januari 1276) alikuwa Papa kuanzia 1 Septemba 1271/27 Machi 1272 hadi kifo chake[1]. Alitokea Piacenza, Italia[2].

Mwenye heri Gregori X.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tebaldo Visconti. Uchaguzi wake ulichukua muda mrefu kuliko zote (miaka mitatu).

Alimfuata Papa Klementi IV akafuatwa na Papa Inosenti V.

Tarehe 8 Julai 1673 Papa Klementi XI alimtangaza mwenye heri.

Sikukuu yake hadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.