Papa Klementi XIV, O.F.M.Conv. (31 Oktoba 170522 Septemba 1774) alikuwa Papa kuanzia tarehe 19/28 Mei/4 Juni 1769 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sant'Arcangelo di Romagna, Italia[2].

Papa Klementi XIV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Vincenzo Antonio Ganganelli.

Alimfuata Papa Klementi XIII akafuatwa na Papa Pius VI.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XIV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.