Papa Martin V
(Elekezwa kutoka Papa Martino V)
Papa Martin V (takriban 1368 – 20 Februari 1431) alikuwa Papa kuanzia tarehe 11/21 Novemba 1417 hadi kifo chake[1]. Alitokea Genazzano, Italia[2].
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/05/Papa_Martino_V.jpg/220px-Papa_Martino_V.jpg)
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Oddone Colonna.
Alimfuata Papa Gregori XII akafuatwa na Papa Eugenio IV.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririLua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Martin V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |