Papa Eugenio IV, Can.Reg. (138323 Februari 1447) alikuwa Papa kuanzia tarehe 3/11 Machi 1431 hadi kifo chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2].

Papa Eugenio IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gabriele Condulmer.

Alimfuata Papa Martino V akafuatwa na Papa Nikolasi V.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.