Papa Nikolasi V

Papa Nikolasi V.

Papa Nikolasi V (15 Novemba 139724 Machi 1455) alikuwa papa kuanzia tarehe 6 Machi 1447 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tommaso Parentucelli.

Alimfuata Papa Eugenio IV akafuatwa na Papa Kalisti III.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.