Papa Nikolasi V

(Elekezwa kutoka Papa Nikolaus V)

Papa Nikolasi V (15 Novemba 139724 Machi 1455) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/19 Machi 1447 hadi kifo chake[1]. Alitokea Sarzana, Italia[2].

Papa Nikolasi V.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tommaso Parentucelli.

Alimfuata Papa Eugenio IV akafuatwa na Papa Kalisti III.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.