Papa Pius II (18 Oktoba 140514 Agosti 1464) alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Agosti/3 Septemba 1458 hadi kifo chake[1]. Alitokea Corsignano, Italia[2].

Papa Pius II alivyochorwa na Pintoricchio.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Enea Silvio Piccolomini.

Alimfuata Papa Kalisti III akafuatwa na Papa Paulo II.

Tazama pia Edit

Tanbihi Edit

Viungo vya nje Edit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.