Papa Pius IV

Papa Pius IV.

Papa Pius IV (31 Machi 14999 Desemba 1565) alikuwa papa kuanzia tarehe 25 Desemba 1559 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Angelo de Medici.

Alimfuata Papa Paulo IV akafuatwa na Papa Pius V.

MarejeoEdit

  • Rendina, Claudio (1984). I papi. Storia e segreti. Rome: Newton Compton. 
  • Freedberg, Sydney J. (1993). in Pelican History of Art: Painting in Italy, 1500–1600. Penguin Books Ltd, 429. 

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.