Papa Paulo IV

Papa Paulo IV.

Papa Paulo IV (28 Juni 147618 Agosti 1559) alikuwa papa kuanzia tarehe 23 Mei 1555 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Pietro Carafa.

Alimfuata Papa Marcello II akafuatwa na Papa Pius IV.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Paulo IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.