Papa Silvester II

(Elekezwa kutoka Papa Silvesta II)

Papa Silvester II (takriban 95012 Mei 1003) alikuwa Papa kuanzia tarehe 2 Aprili 999 hadi kifo chake[1]. Alitokea Akwitania, Ufaransa[2]. .

Papa Silvester II.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gerbert d'Aurillac.

Alimfuata Papa Gregori V akafuatwa na Papa Yohane XVII.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Silvester II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.