Papa Yohane XVII alikuwa Papa kuanzia tarehe 16 Mei 1003 hadi kifo chake tarehe 6 Novemba 1003[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Yohane XVII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Sicco.

Alimfuata Papa Silvester II akafuatwa na Papa Yohane XVIII.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XVII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.