Papa Sixtus IV

(Elekezwa kutoka Papa Sisto IV)

Papa Sixtus IV, O.F.M. (21 Julai 141412 Agosti 1484) alikuwa Papa kuanzia tarehe 1/9/25 Agosti 1471 hadi kifo chake[1]. Alitokea Celle, Savona, Italia[2].

Papa Sisto IV.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Francesco della Rovere.

Alimfuata Papa Paulo II akafuatwa na Papa Inosenti VIII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.